Wananchi Wacharuka..Wataka Mbunge wao Ajiuzulu Kufuatia Kutajwa Kwenye Makinikia

Wananchi Wacharuka..Wataka Mbunge wao Ajiuzulu Kufuatia Kutajwa Kwenye Makinikia Wananchi wa Jimbo la Igunga Mkoani Tabora wamemtaka Mbunge wao Dk. Dalaly Kafumu ajiuzulu ubunge kwa walichodai ni kushindwa kutumia madaraka yake vizuri wakati akiwa Kamishna wa Madini. Wakizungumza kwa nyakati tofauti , baadhi ya wananchi hao, Oscar Thomas, Godfrey Batoba, Pius Roben na Regina Jackson, walisema ni vema mbunge wao akajiuzulu kwa kuwa miongoni mwa wanaotuhumiwa kuiingizia hasara nchi kwa…

Dalili 5 Za Mwanaume Anayekupenda Kwa Dhati

Dalili 5 Za Mwanaume Anayekupenda Kwa Dhati Undapo utaona dalili hizi kwa mwezi wako wa kiume basi tambua fika basi, ya kwamba anMapenzi ya kweli. 1. Anakusaidia fedha pale unapokua umekwama kabisa, yuko na jukumu la kukusaidia kiuchumi. Anapenda kukupa kile ambacho amejaaliwa nacho. Hana mkono wa birika, Huyu anakupenda! 2. Anazungumzia future yake na wewe, mipango ya baadae pamoja na wewe, huyu anayo dhamira ya dhati ku Anakupigia simu…

Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Apagawe Kwako

Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Apagawe Kwako Kuna vitu vingi ambavyo unaweza kutumia kwa manufaa yako ili kufanya wanawake wakuone unavutia. Amini usiamini, hivi vitu si lazima uwe tajiri wala uwe na urembo wowote. Mwanzo kati ya vitu hivyo vingi ni rahisi kuvitumia kwa urahisi. Hii hapa ni orodha ya mambo ambayo ukiyazingatia yatakufanya wewe uwe na mnato kwa mwanamke yeyote yule. 1. Uwezo wako wa nishati Nishati inaweza kuwa na…

Dereva na kondakta Wake Walivyombaka kwa Zamu Ndani ya Basi Lao.

Dereva na kondakta Wake Walivyombaka kwa Zamu Ndani ya Basi Lao. Dereva na kondakta wa daladala zinazofanya safari ndani ya Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Soweto–Mbuyuni wanatuhumiwa kumbaka abiria wao kwa zamu na kumuumiza sehemu za siri. Tukio hilo lililotokea Juni 12 saa moja jioni maeneo ya Veta katika uchochoro uliopo karibu na shule ya Northen Highland iliyo umbali wa mita 400 kutoka barabara ya lami. Akielezea tukio hilo, binti…

Rose Mhando Akamatwa na Polisi Mkoani Singida

Rose Mhando Akamatwa na Polisi Mkoani Singida Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mwanamuziki mashuhuri wa nyimbo za injili, Rose Muhando akituhumiwa kujipati fedha kwa njia ya udanganyifu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Debora Mgiligimba alithibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo alisema mwimbaji huyo alikamatwa juzi Wilaya ya Ikungi baada ya wadeni wake ambao ni Waumini wa Kanisa la AICT Singida kupata taarifa…

Fahamu Machache ya Kushangaza Usiyoyajua Kuhusu Mnyama Mamba..!!!

Fahamu Machache ya Kushangaza Usiyoyajua Kuhusu Mnyama Mamba..!!! MAMBA ni mnyama anayekula nyama, huweza kuishi nchi kavu lakini maisha yake kwa kiasi kikubwa hupendelea kukaa majini, tofauti na fikra za watu wengi ambao hufikiri mamba anazaa ukweli ni kwamba huwa anataga, ambapo kwa wastani hutaga mayai 35 mpaka 50, najua utajiuliza sasa huyu kiumbe anaatamia vipi wakati maisha yake ni ya heka heka? Mamba hutengeneza kiota kwa kuchimba pembezoni mwa…

Somo la Kujifunza Kutoka kwa Muammar Gaddafi..!!!

Somo la Kujifunza Kutoka kwa Muammar Gaddafi..!!! Mwaka 1955 Libya iliingia mkataba wa kuchimba mafuta na kampuni ya Kimarekani iliyokuwa inaitwa ‘Libyan American Oil Company’ wakati huo Libya ikiwa chini ya Mfalme Idris. Baadaye Marehemu Muhammar Gaddafi akafanya mapinduzi na kuitawala Libya. Muammar Gaddafi alikuta Libya ipo kwenye mikataba ya ajabu ya Mafuta na kampuni hiyo ya USA ambayo ilikuwa inanufaisha wazungu kuliko Libya na siku moja kwa hasira sana…